Fulu mzeiyabablai aje aje?
Yes Papaa.....Naskia umeenda kijiji.....wasalimiePapaa ya mihelaa ....mshenga usiyependa makuu
Anko hiyo kazi sio nyepesi ,,nashuka mtini nikipanda tena ntakupa mbinu
Bhinamuuu we acha tu ..najua hawakosii bhinamuuu ukiwa na mke mwema kama aunt yakoMjombaangu nawe kwa fix, umejuaje kama hajakwambia kusumbuliwa? Au yale mambo ya kupasua nazi na kuandika kiarabu kwneye mayai?
Mungu mwema Mimi sijambo namshukuru,pole Na majukumu ubarikiwe
Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu ndo nimekuja apa centre kuchaji simu kwenye solarYes Papaa.....Naskia umeenda kijiji.....wasalimie
Mshenga wake shunny ...hii hata mie siungi mukono!!!
mie nduki!!!
Nimekuja centre kuchaji simu mkuu kwenye betri la gari ...ngoja ijae kidogoLee bado hujapanda juu ya mti ukanipa mbinu
Thawa mkuu nathubiriNimekuja centre kuchaji simu mkuu kwenye betri la gari ...ngoja ijae kidogo
Bhinamuuu we acha tu ..najua hawakosii bhinamuuu ukiwa na mke mwema kama aunt yako
Uko poa lakini
Ilaa mkuu naona bibie yetu huyu wewe mambo mengi tutampoteza kama zeroThawa mkuu nathubiri
Bhinamu swadakta kabisaUwema wake kama hajanionesha ni ngumu kuthibitisha anko🙂
Niko poa mjomba, asante kwa kuuliza. Nafurahi uko poa pia
Ngoja nami nichaji simu
Ilaa mkuu naona bibie yetu huyu wewe mambo mengi tutampoteza kama zero
Umeeoonaa ana maneno flaniii amaizing ya kutiana moyo (nakujua bhinamu utanyambua)Kwani saa hizi majeshi yamehamia kwa BH?
Muacheni tafadhari, bado ninapenda kusoma maneno yake ya ubarikiwe na amen kila post, manyang'au msimkongoloe....me ndukiiiiiii
Nzuri mkuuHabari za jioni wakuu
hahahhhhhBaby pole na majukumu ...najuaa wamekusumbua wengi
Watajee babyhahahhhhh
Ndio mkuu ndo nimekuja apa centre kuchaji simu kwenye solar
Mil 50 sijui wanagawa lini