Makapuku Forum

Reuuuuuuuben!!!


[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
Reactions: Lee
Leo katika historia.

Arsenal imekuwa ni club ya kwanza Uingereza na 'duniani' kufungwa magoli 200 katika ligi ya mabingwa.

Asante Bayern Munich kwa kuwaandikisha hawa Arsenal historia hii mubashara
Kama ni historia kweli wameiwekaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…