Honeymoon haijaisha??Abhantu bhumu se mulimo tsee...... jewe ndilli neza Bha MAKAPUKUZZZZ
Tetesi nasikia mbowe manji azzan wametajwa pia na gwajimaNasikia movie inaendeleaa
Mwenye list aweke
Mrn shululuMorning makapuku
HayaAbhantu bhumu se mulimo tsee...... jewe ndilli neza Bha MAKAPUKUZZZZ
Haya
Duuuuuh kazi kweli kweliTetesi nasikia mbowe manji azzan wametajwa pia na gwajima
Umeniacha maili sitini ndo maana nikasema "haya" ili uniulizeUmeelewa kilichozungumzwa
Noma mzee bhado anazungumzaDuuuuuh kazi kweli kweli
Nawe pia qeenNimewamiss jamani...mchana mwema
Oooooooooh malkia nimefurahi kukuonaaNimewamiss jamani...mchana mwema
Njooo mwisho wa reli kwao na vipaji ufundishwe lugha hiyoUmeniacha maili sitini ndo maana nikasema "haya" ili uniulize
Namm umenimiss etiNimewamiss jamani...mchana mwema