Nawe pia kapukuTuwe na wiki njema Makapuku yenye furaha, maelewano , afya ya mwili na hela nyingi (January si inaisha)
.
Pamojaa sana BhinamuuuuTuwe na wiki njema Makapuku yenye furaha, maelewano , afya ya mwili na hela nyingi (January si inaisha)
.
Morning Lee,Asante kwa magazetiIn addition ...![]()
![]()
![]()
![]()
Goodmorning all family
Asante mkuu ...tugufurike vyemaMorning Lee,Asante kwa magazeti
Asantee Bhinamu ....lee empire , asante mjomba kwa magazeti.
Na ya kiingilishi leo umeyawakilisha nanukuu "in addition....Good morning all family".
Ya udaku sina hakika lugha ya kiudaku utaiweza (joke)
Nawe piaAsubuhi njema wakuu
Na wewe pia mkuuAsubuhi njema wakuu
kwahyo mtu mzima anatakiwa aitwe nanTafakuri yakinifu!
Hivi hii kuitana baby ilianzia wapi? Kwanini mtu mzima aitwe baby wakati tafsiri halisi ya neno Baby ni mtoto
Kwanini uitwe baby??