Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mtoto anapenda kukurusha roho?Ndio baby ...
Ila unapenda kunipandisha presha na wewe ...



Hudumia vizuri mkuu watu wasimuibe
Mtoto anapenda kukurusha roho?Ndio baby ...
Ila unapenda kunipandisha presha na wewe ...



Hahaaa! Ameweza kula kweli?Tule kwanza achana na Transcend
Kweli mkuu....ila shemela wetu haonekanHahahaa! Basi mkuu.! Hebu linda hiyo mali inaitwa shunie bhana..
Ukiona mtu anaitolea macho mpige risasi tuu![]()
Ahaha! Januari si ina siku 31 mkuu?Napita nikiwatakia Jumapili Njema,
Januari inaishia hivyooo... Tupumue sasa.



Nawaona nawaonaaMapenzi mubashara ,,,,![]()
![]()
Atakuwa online kwanzia kesho! Amepatwa na tatizo kidogo...Kweli mkuu....ila shemela wetu haonekan
Tunaenjoy tuu mioyo haisukumi damu tuNawaona nawaonaa
Namba zenu nnazo ntawapigiaTunaenjoy tuu mioyo haisukumi damu tu
Mwambie Shunie kammisAtakuwa online kwanzia kesho! Amepatwa na tatizo kidogo...
Clkey will be back soon
Wewe umeshakuwa paired au nijitokeze kwenye kinyang'anyiro cha kukugombea jamani?Namba zenu nnazo ntawapigia
..............kwa sababu jukwaa hili ni dating center nzuri sana hata badoo haioni ndani!!
Mkuu ongeaa nae kinagaubaga malkia ..unaweza ukawa wa 804Wewe umeshakuwa paired au nijitokeze kwenye kinyang'anyiro cha kukugombea jamani?..............kwa sababu jukwaa hili ni dating center nzuri sana hata badoo haioni ndani!!
![]()
Nitafikisha salama mkuu!Mwambie Shunie kammis
Umkuu ya Tembo Card / Master Card?Wewe umeshakuwa paired au nijitokeze kwenye kinyang'anyiro cha kukugombea jamani?..............kwa sababu jukwaa hili ni dating center nzuri sana hata badoo haioni ndani!!
![]()



nakuona
hahahahh hajack buana n mm mwenyeweUmehack acc ya ma bite
Tunawapenda sanaaNitafikisha salama mkuu!
Najua familia ya Bwana na bibi Lee empire inavyoipenda familia ya Transcend ..
Hapana si unajua simu tunashare alitumia yangu kocoment na mm nimejikuta natumia yake



Hahahaa! Basi mkuu.! Hebu linda hiyo mali inaitwa shunie bhana..
Ukiona mtu anaitolea macho mpige risasi tuu![]()


