Trump kibokoKutoka Majuu...
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutia saini amri kuu kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo.
Taarifa kutoka Marekani zinasema ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico atakapozuru makao makuu ya wizara ya usalama wa ndani baadaye Jumatano.
Aidha, anatarajiwa pia kutoa tangazo la kuidhinisha sheria kali zaidi za kupata visa kwa wageni kutoka eneo la Mashariki ya Kati na Afrika ambayo yana Waislamu wengi.
Miongoni mwa nchi zitakazoathiriwa na agizo la Trump ni Syria, Yemen, na Iraq.
Bw Trump ameandika kwenye Twitter kwamba leo itakuwa siku muhimu sana kwa usalama wa taifa la Marekani.
Mwandishi wa BBC David Willis kutoka Washington anasema hatua hiyo huenda ikayaudhi mashirika ya kibinadamu na yale ya kutoa misaada ikizingatiwa mzozo unaoendelea kwa sasa kuhusu hali ya wakimbizi wa Syria.
Uko poa lakiniSamtaimu nakuwa bize
Na jana usiku nilikuwa nacheki Ivory Coast alivyovuliwa ubingwa AFCON kwa aibu hatua ya makundi
Yule Mmorocco jezi # 23 kapiga bonge la bao naamini ni moja ya magoli bora AFCON 2017
.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzitunze jamani...msizimwage hovyo
[emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzitunze jamani...msizimwage hovyo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzitunze jamani...msizimwage hovyo
Punguza ujuaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzitunze jamani...msizimwage hovyo
Wewe tu takusaidia[emoji85]Punguza ujuaji
Zitaoza utatusaidia kutusafisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
KugufurikaaNipo poa kabisa
Asubuhi pilika nyingi
...
Utaanguka[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wewe si ushazitengenezea bite[emoji87] [emoji87] [emoji87]
HahahhhPole malkia najua wewe si "moyo sukuma damu" ila vumilia
kazi gan malkiaMmh bas nampa pole mama bite. ...kazi yote ulimuachia yeye[emoji23]
Lee shukran huyo kaka aliyejiua anasikitisha sana sijui kwa nn aliamua kufanya hivyo wanawake wote hawaUdaku na malkia mwenyewe Kan
Thanks Malkia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*Mchungaji anaposema, tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu" alafu kwaya wanasimama wanaimba*
_"Hakuna wa kufanana naye"_
[emoji16][emoji16][emoji16]hapo ndipo ninapotoka kanisani bila kuelewa chochote
[emoji125]
Za usiku...kama kuosha vyombo, deki ili usipate tabu asubuhi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]kazi gan malkia
hahahahhhZa usiku...kama kuosha vyombo, deki ili usipate tabu asubuhi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mama Bite wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]