[emoji109] [emoji111] [emoji120]Niwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..
QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote
Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa
lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!
Pamoja sana..
Mukongo umeadimika mkuuu[emoji109] [emoji111] [emoji120]
Acha tu, wakwetu mishe mishe ndugu yangu.Mukongo umeadimika mkuuu
Pole ndugu ...ila yote kheri muhimu uzima na kupambana tuone hii 17 tunaendana nayo vipi mkuu ,ila nimefurahi kusikia kutoka kwako sisi tupo Mungu anasaidiaAcha tu, wakwetu mishe mishe ndugu yangu.
Mambo vpMkuuuuuuuuuuuuuu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaha...haya brizNiwatakie Heri ya Mwaka Mpya wadau wote humu ndani(uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi) naamini sijachelewa sana
Majukumu yamezidi kunipoteza mwenzenu, huwa naibuka lakini kwa machale sana
Am really missing you fellaz..
QUIGLEY, Jimena, Bitoz, Bailly5, Mussolin5, Werrason, manuu, Patience123, amaizing, shululu, lizziebettie, Cobblepots, MANDELAA KIWELU, jonax, Makaveli10 & Sweetiepie, The book, Tetramylez, Papushikashi, MKWEPA KODI, SHIMBA YA BUYENZE, jerrysonkiria, shushushu VIP, radika, Shemtibuko, Ollachuga Oc, radika, lothrito, sacajo na wengine wote
Ooops! bila kuwasahau wanaolisongesha kwa sasa
lee empire, Transcend, Salaniatz, Obe, Shunie, ukhuty, Queen Kan, Clkey na wengine wooote!
Pamoja sana..
Hahahaha...sijapotea shululu. NimeadimikaMwana mpotevu upo
Kwema mkuuuMambo vp
[emoji120]Pole ndugu ...ila yote kheri muhimu uzima na kupambana tuone hii 17 tunaendana nayo vipi mkuu ,ila nimefurahi kusikia kutoka kwako sisi tupo Mungu anasaidia
Mzee wa fungateHahahaha...sijapotea shululu. Nimeadimika
Tugawane ulichookota mzee mwenzanguAcha tu, wakwetu mishe mishe ndugu yangu.
Mkuu upo!Mambo vp
Amempata nani?Mzee wa fungate
Kipindi kileeeeeAmempata nani?
Kipi nimesahauKipindi kileeeee
Ni kwema.. kabisaKwema mkuuu
Hahahaha, ina maana husahau tu shululuMzee wa fungate
Nipo mzee, kama kawaida yangu,..we ndio huonekaniMkuu upo!
Bado sijapata,,,,Amempata nani?