Kazi ipoKanisa lapiga marufuku ndoa wanawake waliozaa.

Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limepiga marufuku kuanzia sasa ufungishaji ndoa madhabahuni kwa wanawake waliozaa.

Aidha kanisa hilo ambalo ni moja ya makanisa mawili makubwa zaidi Nchini limepiga marufuku pia wanawake wenye ujauzito kufunga ndoa madhabahuni kwa maelezo kwamba kufanya hivyo ni kukiuka maandiko ya Mungu.

Kutokana na uamuzi huo wa Kanisa, kuanzia sasa wanawake wenye sifa hizo hawataruhusiwa kukaa mbele madhabahuni na kufunga ndoa wakiwa wamevaa shela.

Badala yake, imeelezwa ndoa zinazohusu maharusi wanawake wa namna hiyo zitafungwa katikati ya ibada ya kawaida Wakiwa wamekaa na waumini wengine.

Imekuwa kawaida sasa kuona wanawake wenye ujauzito au walishazaa watoto baada ya kuishi na wanaume kinyumba au wakiwa wajawazito wakifunga ndoa madhabahuni.

Kwa mujibu wa tangazo wa tangazo lililosomwa kwenye sharika mbalimbali za KKKT hivi karibuni ni marufuku Wachungaji kufungisha ndoa za aina hiyo.
Hahahahh ww tena usitokeeHaaaaahaaaa, nilijua tu kuna siku kutakuwa na swali kama hilo
Balozi alikuachia weweMwenyekiti ni nani?
All the best mnyama utoke na point 3Half Time:
Simba[emoji637]
Polisi[emoji778]

Ahaaaaaaah nilijua na mimi utakuja sema umekuja tushayamalizaHaaaaahaaaa, nilijua tu kuna siku kutakuwa na swali kama hilo
Apoo sawa ngoja nikuitie shululu akupe hihahahhh sina dukuduku baba bite
Poa kakaNiajee Quigley
Najua yameishaAhaaaaaaah nilijua na mimi utakuja sema umekuja tushayamaliza
Habari yakoNiajee Quigley
Bwanaabwanaaah yameisha salamaNajua yameisha
HhahahahahApoo sawa ngoja nikuitie shululu akupe hi
Hhhhaaaah nyie watuAhaaaaaaah nilijua na mimi utakuja sema umekuja tushayamaliza
Umeonaa mama Bite wangu wasionitakia mema ...[emoji4] Ila nshamwambia hasije akarudia ya Siku ile ..Hhhhaaaah nyie watu
ya siku ile yapi tenaUmeonaa mama Bite wangu wasionitakia mema ...[emoji4] Ila nshamwambia hasije akarudia ya Siku ile ..
Huyu ndo yuleyule aliyekunyima furusana akashindwa na uhai ndogo[emoji3] [emoji3] [emoji3]ya siku ile yapi tena
ya siku ile yapi tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ushaonjaa tayari Balozi
[emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

[emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hahahahh nilishasahau ye na mukongoHuyu ndo yuleyule aliyekunyima furusana akashindwa na uhai ndogo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahhah nani huyo
[emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]