Makapuku Forum

Niaje Wadau? Naona wanatudiss ila mioyoni mwao wanatukubali kiaina...
Haters wakikuona unatembea juu ya maji baharini wanasema hujui kuogelea wakati wao wanategemea mtumbwi
Maneno yao hayatusumbui ndo kwanza wanatusaidia kuifanya thread iwe active bila kujua

Haters gonna hate[emoji117] Ignore them
........
 
Haaahaaa, huo ndio ukweli wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…