DuhKWA TAARIFA YAKO KAPUKU: Marehemu Charles Domery, aliyekuwa mwanajeshi wa Poland alivunja rekodi ya kula paka 174 kwa mwaka....kwa hisani ya Bitoz
Sio mchezo...hadi tufike PhD kama ya mkulubilanga unadhani ni leo au kesho?
Manyaunyau wa Ulaya[emoji3]Duh
Mtafuna manyau
Huyo ni ghost
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
.......
WAZEE WA KUTABIRIII[emoji350] [emoji350]Sio mchezo
Angekuwa Mwafrika wangesema ni mchawiManyaunyau wa Ulaya[emoji3]
Mukongoooo ushindweeeeeWAZEE WA KUTABIRIII[emoji350] [emoji350]
Natabiri thimba kufungwa mechi ya lewo usiku[emoji350] [emoji350]
[emoji1]Team azam
duuu mtoto ana mwingi
Mtoto amejileta mwenyewe......mi mshefa nna hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
yeah[emoji1]
Njema, u hali gani?Wakuu habarini
Ni SHILAWADU- Shirika la wambeya Duniani.Duuuuuuuh ntaweka shiriwadu clouds kwa style hii
Njema mkuu, vp haliWakuu habarini
Akina soudy brownNi SHILAWADU- Shirika la wambeya Duniani.
Nimekosea kwelii ....usiulize nipo wapiNi SHILAWADU- Shirika la wambeya Duniani.