Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ile ni avatar ya pambo tu profile linaonesha yupo km kawa(lakini sins uhakika labda ndo kapigwa rungu muda mfupi uliopita maana hana kawaida ya kubadili avatar)

NB:
Siyo kila avatar ya BANNED ni ban.....wengine wanaweka wenyewe km fasheni tu

..........
Nipo wakuu...nimebadili kwa muda tu. Nitairudia Avatar yangu pendwa.
 
Screenshot_2016-12-09-12-18-06.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom