Makapuku Forum

Ila ww bado unaishi kicustomaty
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Maisha ni maisha tu bana. Uishi ki-customaty (whatever that means) usiishi siku yako ikifika unavuta, wapendwa wako wanalia halafu wanakusahau, dunia inaendelea kujizungusha katika mhimili wake na kesho yake jua linachomoza na maisha yanaendelea....​
 
Kweli aisee
Kifo noma sana hakihitaji mbwembwe
Life is once enjoy it
.......
 
Kweli mzee, unatakiwa uishi maisha ambayo unafurahia alimradi usijidhuru eg. kwa pombe mbaya, usiwe kero kwa watu au kuvunja sheria!!!

Ukiwa na furaha mambo mengine huwa mepesi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…