[emoji23] [emoji23] [emoji117] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Avatar yako inapatikana mtaa wa pili
Hao ni mbumbumbu
Wanaoga kila kitu
Nipo kwenye mchakato wa kutumia picha yangu halosi japo nitaiedit ili sura isionekane vizuri
Au ambayo haioneshi sura
...ndo dawa maana hakuna atakayeitumia
........
Majukumu pamoja na safari za mara kwa mara yamenibana sanaUmeadimika sana
Morning l-squareMorning wakuu
Morning kaka mkubwaMorning all
Morning shululuMorning all kapuku
Mambo niajeeeMorning shululu
Bitoz umeadimika kinomaàMasela nimerudi
Eti chanjo ya Ukimwi inapatikana wapi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Mambo vipi jonaxadjeeee?
[emoji134] [emoji134] cjui kama vipi ulizia ili watu tuwe free........ila kitambo sijakuona we tozMasela nimerudi
Eti chanjo ya Ukimwi inapatikana wapi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Fureshi tuu.....vipi hukooMambo niajeee
Morning mdogo wanguMorning kaka mkubwa
Naona kuna watu wamesafiri kikazi nini.......au ndio wamepigwa banMorning mdogo wangu
Wengine majukumu, wengine mb, wengine ndo hivyo tena, watakuja usijali hata wew ulipoteaNaona kuna watu wamesafiri kikazi nini.......au ndio wamepigwa ban
Nafurahi kukuona tenaHao ni mbumbumbu
Wanaoga kila kitu
Nipo kwenye mchakato wa kutumia picha yangu halosi japo nitaiedit ili sura isionekane vizuri
Au ambayo haioneshi sura
...ndo dawa maana hakuna atakayeitumia
........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nilisha sahau kama na mimi nilipotea.....sema tuko pamoja[emoji61] [emoji61]Wengine majukumu, wengine mb, wengine ndo hivyo tena, watakuja usijali hata wew ulipotea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji111][emoji1] [emoji1] [emoji1] nilisha sahau kama na mimi nilipotea.....sema tuko pamoja[emoji61] [emoji61]
Maisha tuBitoz umeadimika kinomaà
Punguza fix[emoji1] [emoji1] [emoji1] nilisha sahau kama na mimi nilipotea.....sema tuko pamoja[emoji61] [emoji61]
Poa kabisa sijui wewe?Sio kwa kuadimika huko, uko poa lakini?