Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Leo katika Historia:
1947 - Umoja wa Nchi za Soviet wakamilisha uboreshaji wa silaha ya AK-47.
1974 - Ronald DeFeo Jr anaiua familia yake ya watu sita ambao ni Baba, Mama, Kaka wawili na dada wawili huko New York.
Kwasasa anatumikia kifungo cha maisha jela.
1950 - Jenerali Carlos Delgado Chalbaud ambaye alikuwa Rais wa Venezuela anauwawa huko Caracas.
1985 - Xavier Suarez anaapishwa kama Meya wa kwanza kabisa wa Miami ambaye ni mzaliwa wa Cuba.
Pia nami nawatakia siku njema chama lote la Makapuku except KikofiaLeo katika Historia:
Sina la ziada Jumapili njema.
pamoja.Pia nami nawatakia siku njema chama lote la Makapuku except Kikofia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mie sio baba ni mama jamani sema nina jina gumu tu[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nitaponaje wakati mimi ndiye daktari wenu?
Urudi huku wenzio wamekumiss.
Hii #47 ni 7bu ya mwaka 1947???Leo katika Historia:
1947 - Umoja wa Nchi za Soviet wakamilisha uboreshaji wa silaha ya AK-47.
Thanks MussoLeo katika Historia:
Sina la ziada Jumapili njema.
AK 47 stands for Avtomat Kalashnikova 1947(Automatic Kalashnikova)Hii #47 ni 7bu ya mwaka 1947???
[emoji120] [emoji106]AK 47 stands for Avtomat Kalashnikova 1947(Automatic Kalashnikova)
Ilibuniwa na Mrusi Mikhail Kalashnikova ilitumika wakati wa vita baridi(Cold War}
......
Kivipi bradhaUkisikia picha ya pamoja ndo hiyo
Sawa tutaendaWale wa j2 tusisahau ibada jmn
Kwahiyo 47 inawakilisha ule mwaka[emoji120] [emoji106]