Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Yule mfalme hayuko serious...kwanza ona kale ka singlet alikokavaa lile chata![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishaupata
Mfalme mwenyewe anapozi za kike
Anarembua
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
....
Huyo niiiii...........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39] [emoji39]
Sio mwaka Jana ni mwaka juziSina hakika, hivi yule bibi wa mwaka jana hakuwa mke wa mtu kweli?
Salama......uko poa?Habari za humu wadau??
Usukani!!!??? ! Sijaelewa elewa..Sijamuona makaveli10 nikajua we ndio umeshikilia usukani kwa muda
Uwiiiiii!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimuona huyu mtu popote alipo naomba uniletee
Ndio uelewe sasaUsukani!!!??? ! Sijaelewa elewa..
[emoji4] [emoji4] najua.. Wewe ni mtaalamu WA hizi [emoji160] [emoji160]... [emoji1]Kama sikosei, japo mimi sio mtaalamu wa rangi [emoji125] [emoji125]
Sikufuatilia na huwa sifuatiliagi... Labda alikuaSina hakika, hivi yule bibi wa mwaka jana hakuwa mke wa mtu kweli?
Haha sasa mzigo wanautoa kwa nani ama anko lundenga?Wanagpmbea wakigoma kutoa mzigo[emoji117] [emoji160] ndo basi
.....
Sasa unanilisha maneno sasa[emoji4] [emoji4] najua.. Wewe ni mtaalamu WA hizi [emoji160] [emoji160]... [emoji1]
Yap ni mwaka juzi nadhaniSio mwaka Jana ni mwaka juzi
Mke wa jirani yangu.... Lakini kwa sasa kasafiri kwaiyo kaniachia nimuangalizie [emoji39] [emoji39] [emoji39]Huyo niiiii...........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia kumbuka kaumbiwa binadamu na wewe ukiwemo[emoji4] [emoji4] najua.. Wewe ni mtaalamu WA hizi [emoji160] [emoji160]... [emoji1]
Niko byee.... Vipi wewe Switi_pai???Salama......uko poa?
Ongezea nyama kidogo banaNdio uelewe sasa
Sweetie hujambo? Ile avatar mujarabu iko wap??Uwiiiiii!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulaji wa wazeeWanagpmbea wakigoma kutoa mzigo[emoji117] [emoji160] ndo basi
.....
Bila kusahau kuwa tunazidiana utaalamu... Wewe ukiwa kama mtaalamu MKUUPia kumbuka kaumbiwa binadamu na wewe ukiwemo