Leo nimeenda mahakamani, mara judge akasema..
Order! Order...
Mimi na kiherehere changu nikasema.. Chapati .. Maziwa na ovacado tatu ...
Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..
i think wananiandalia chapati.
Huwa sipendi ujinga kwenye misosi ya bure.