Makapuku Forum

1940 - Pele anazaliwa.

Ni mwanasoka bora wa wakati wote kwa mujibu wa Fifa.

Ametwaa ubingwa wa Dunia mara tatu na kuwa mchezaji pekee kufanya hivyo katika historia ya Kombe la Dunia.

Pia aliwahi kuekti movie iitwayo " Escape to Victory " akiwa na akina Rambo, Bobby Moore na wengineo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…