Makapuku Forum

Morning all
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa Yanga naomba niwaletee magazeti yaliyotufikia mezani jumapili ya leo
 
Sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti, nawatakia jumapili tulivu na yenye furaha
Niite Jimena Jimenes de la Bristol
Ila siwaachi hivi hivi tu ........ Nawaacha na wadhamini wetu ambao ni WA KIMATAIFAAAAAAAAAA

Nani kanuna???
Cc jonax
Cc Mussolin5
Cc werrason
Cc mashabiki wote uchwara wa Simba [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ww demu mbona mgomvi
Cc Kikofia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…