jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
Ahsante sana musoLeo katika Historia:
Zimebaki siku 70 kabla ya mwaka huu kufikia tamati.
Kwa udhamini mnono wa Kagera Sugar " Wanankurukumbi " niwatakie Jumamosi njema na sabato njema kwenu.
Hahahahahaha Kagera hawana loloteLeo katika Historia:
Zimebaki siku 70 kabla ya mwaka huu kufikia tamati.
Kwa udhamini mnono wa Kagera Sugar " Wanankurukumbi " niwatakie Jumamosi njema na sabato njema kwenu.
Aisee
massawe nimekuja sasaKweli kabisa yaani ni sawa na haya majina yetu, Chacha, Massawe, Komba, Mwakipesile.
Hadi raha yani
Simba wote kimyaaaaHadi raha yani View attachment 422470