Amenna we pia
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Tumefikia mwisho wa kuperuzi magazeti ya leo, muwe na siku njema woteee
Upo kaka![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nipo mkuuUpo kaka!
Asante kwa magazeti ya leo mkuu QuigleyTumefikia mwisho wa kuperuzi magazeti ya leo, muwe na siku njema woteee
AmenAsante kwa magazeti ya leo mkuu Quigley
Duu umeamka na kiporo ulilala njaa?Nipo mkuuView attachment 420123
[emoji2] kushiba kwanza, ndo mambo mengine yanafuataDuu umeamka na kiporo ulilala njaa?
Una akili sana hebu kunywa kinywaji chochote utakacho ntalipaDiamond mtoto wa juzi kamzidi utajiri Baba yangu aliyezaliwa kitambo....kutangulia sio kufika
ebu kujeni muulize maswali kwa Mwigulu Nchembahttp://www.jamiiforums.com/threads/majibu-ya-waziri-mwigulu-nchemba-kuhusu-tuhuma-za-kughushi-vyeti-vya-taaluma-kuiba-jina.1133661/unreadUna akili sana hebu kunywa kinywaji chochote utakacho ntalipa
Acha uwongo mukongo_WACHAGA NOUMA_
Teacher: _...Tunga sentensi ukitumia pesa..!!!_
Kimario : _.."Hapana zitaisha...._
[emoji12][emoji16][emoji16][emoji12]
```Wachaga upuuzi hawapendi```
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji736][emoji2] kushiba kwanza, ndo mambo mengine yanafuata
Wote tumeuona huo Uziebu kujeni muulize maswali kwa Mwigulu Nchembahttp://www.jamiiforums.com/threads/majibu-ya-waziri-mwigulu-nchemba-kuhusu-tuhuma-za-kughushi-vyeti-vya-taaluma-kuiba-jina.1133661/unread
yaani nimeona raha kuulizana na waziri,ndo lilikuwa lengo langu!!!Wote tumeuona huo Uzi
Mbona kajibu vizuri tu tatizo lenu kila kitu mnaleta siasa......angahikeni na maisha yenu badala ya kuwazingua waliofanikiwa kihalali na kwa kupambana
Mtu kuchukua jina la mtu mwingine shule ya msingi zamani haikuwa ishu ht we huko kwenu wapo rundo na wala siyo krsi
Pambana na maisha tuache wivu hata tumuulize maswali sijui kuhusu mkewe haitusaidii kitu
Mi uzi niliuona tangu ukiwa na comment 3 na nilikuwa nausoma tu
.....
Mimi nishawahi kukutana na waheshimiwa/watu maarufu na kuongea nao hivyo nachukuliaga kawaida tu maana pia wapo ndugu zangu wa karibu ambao ni maarufu lakini sihangaiki nap sanayaani nimeona raha kuulizana na waziri,ndo lilikuwa lengo langu!!!
NB:ule uhakiki wa vyeti uanzie juu
Mimi nishawahi kukutana na waheshimiwa/watu maarufu na kuongea nao hivyo nachukuliaga kawaida tu maana pia wapo ndugu zangu wa karibu ambao ni maarufu lakini sihangaiki nap sana
Nilichokiona kwa Mwigulu ni upambanaji wake kimaisha wkt wajinga wanaona utata tu wa hayo majina
....................
Mfano nilionana na Edo Kumwembe enzi hizo akiwa gazeti la BINGWA pale New Habari maeneo ya Sinza....Jamaa alikuwa harakitambi badobado,mcheshi...Leo hii kawa supastaa mkubwa namcheki tu social media na samtaimu nacomment kwenye page yake FB
hata mimi huwa nacomment nitakubuni nikiona jina lakoMfano nilionana na Edo Kumwembe enzi hizo akiwa gazeti la BINGWA pale New Habari maeneo ya Sinza....Jamaa alikuwa harakitambi badobado,mcheshi...Leo hii kawa supastaa mkubwa namcheki tu social media na samtaimu nacomment kwenye page yake FB
Nilichojifunza kwake ni kwamba tuwe na bidii na kupenda mambo/kazi/dili tunazozifanya na juhudi ndio kila kitu ingawa nyota zinahusika...Leo jamaa yupo Supersport
Maisha samtaimu wenge tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
Hata Jf umaarufu unatafutwahata mimi huwa nacomment nitakubuni nikiona jina lako
pinnedHata Jf umaarufu unatafutwa
Lakini km una nyota ya bundi hata uwe na thread 100 huupati
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............