SongeaHivi kuna jiji lolote hapa nchin lina muonekana wa amna hii kama Dubai?View attachment 420026
Jk voice au umesahau?[emoji86] [emoji117] [emoji40] [emoji40] [emoji116]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
alinifanya nikatoa machozi 2014.......sijui ndo huyu au nimesahau
Ndiyo yeyealinifanya nikatoa machozi 2014.......sijui ndo huyu au nimesahau
Brazil Vs Germany
1982 - Bess Truman anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mke wa Rais Harry S. Truman wa Marekani.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji12] wachangamkia fursa endeleen kupambana
Nikisema hvyo nitaambiwa kuwa mm ni mchochezi bureJk voice au umesahau?
2007 - Lucky Dube anauwawa huko South Africa.
Alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa Reggae toka nchini South Africa. Kifo chake kiliwashtua wengi.
Aliuwawa kwa kupigwa risasi na watu ambao baadae walikuja kukamatwa na kuhukumiwa.
May be ilipangwaIla JFK alihujumiwa wazi wazi kabisa, kwanini hapakuwa na walinzi wa pembeni siku ya tukio?
Alikamatwa au alijiuwa baada ya tukioSijajua ila jamaa asingekufa pengine angeweka wazi akina nani walimtuma kufanya mauaji yale.
YapKwani Dube aliua?
Ulikuwa mchongo wa kuangamiza kizaz chake au[emoji15] [emoji15] [emoji15]Cha kusikitisha zaid 1968 mdogo wake na yeye akauwawa tena.
SenzoInasadikika alimuua mpiga drum wake baada ya kujitenga naye
chanzo nnHayo yote hayakutokea kwa bahati mbaya. It was planned.
Ikumbukwe Robert F. Kennedy alikuwa ndio Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya kaka yake.
Hivyo alijua siri nyingi, alipoamua kuwania Urais wakaona mambo yatafichuka. Wakammaliza.
Kuna mtu anaitwa Edgar J. Hoover ( Mkurugenzi wa FBI ) anatajwa sana katika mauaji ya ndugu hao. Pia Makamu wa Rais naye ametajwa sana.