Makapuku Forum

Cha kusikitisha zaid 1968 mdogo wake na yeye akauwawa tena.
Hayo yote hayakutokea kwa bahati mbaya. It was planned.

Ikumbukwe Robert F. Kennedy alikuwa ndio Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya kaka yake.

Hivyo alijua siri nyingi, alipoamua kuwania Urais wakaona mambo yatafichuka. Wakammaliza.

Kuna mtu anaitwa Edgar J. Hoover ( Mkurugenzi wa FBI ) anatajwa sana katika mauaji ya ndugu hao. Pia Makamu wa Rais naye ametajwa sana.
 
Yah! Hapa inaonekana mdogo wake Kennedy aliwafahamu fika wauaji waliomuua kaka yake.
Hivyo walihifia kuwa endapo angekuwa rais basi angewamaliza
 
Urais wa nchi kama Marekani ni shida tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…