Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Diamond mtoto wa juzi kamzidi utajiri Baba yangu aliyezaliwa kitambo....kutangulia sio kufika[emoji2] Sasa watuzidi vipi wakati sisi ndo tulipata uhuru kabla yao?
[emoji86] south Africa imepata uhuru 1994 lakini....Diamond mtoto wa juzi kamzidi utajiri Baba yangu aliyezaliwa kitambo....kutangulia sio kufika
Tumewaacha mbali kwa viwanda vya magazetibi(matamko)Vipi kiuchumi tumelingana nao?
Vandame ni actor wa kiwango cha juu sana1960 - Jean Claude Van Damme anazaliwa.
Ni actor wa filamu kutoka huko nchini Ubelgiji.
Baadhi ya kazi zake ni Double Impact, Universal Soldiers, No way to run, The hard target.
Utata kwa kwenda mbele1974 - Robbie Savage anazaliwa.
Ni mchezaji wa kiungo wa zamani wa Man Utd, Leicester city, Blackburn Rovers na timu ya taifa ya Wales.
Alisifika kwa ubabe wake na ni mmoja ya wachezaji wakorofi kuwahi kucheza EPL.
wametuzidi kidogo,ngoja wale jamaa watabiriVipi kiuchumi tumelingana nao?
Amegonga 66 yrs sasaVandame ni actor wa kiwango cha juu sana
1933 - Lee Harvey Oswald anazaliwa.
Alimuua Rais wa Marekani wa kipindi hiko John F. kennedy.
Naye aliuwawa siku mbili baada ya kumuua JFK.
sidhani.Vipi kiuchumi tumelingana nao?
[emoji2] wale si wameshatabiri kuwa level zetu sasa hv ni DubaiView attachment 420018
wametuzidi kidogo,ngoja wale jamaa watabiri
Ukiua kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga2007 - Lucky Dube anauwawa huko South Africa.
Alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa Reggae toka nchini South Africa. Kifo chake kiliwashtua wengi.
Aliuwawa kwa kupigwa risasi na watu ambao baadae walikuja kukamatwa na kuhukumiwa.
Asante dikteta, nawe siku njemaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Ander Herrera, niwatakie siku njema.
Ila JFK alihujumiwa wazi wazi kabisa, kwanini hapakuwa na walinzi wa pembeni siku ya tukio?