Makapuku Forum

Mlikuwa nami quigley kwa udhamini mnono wa QUIGLEY CO.LTD iliyodhamini oparesheni MSAKE Jimena.
Tumemmiss jimena, sio kwa sababu ni muhim kuliko wengine, bali ni sehemu ya familia ya kf, uwepo wake na mchango wake ni muhim sana kwa uhai wa uzi huu, japo hata asipokuwepo uzi utasonga lkn twamiss mchango wake
Asanteni
Msake jimena
Mwiteni jimena
Muwe na j2 njema
 
Asante kwa magazeti mkuu Quigley
 
Last seen [emoji117] Wednesday
Aliniambiaga yupo busy na sehemu ambayo hawezi kuchat
Kuna mambo yamembana ni kswaida tu hata mimi kuna muda nitakuwa sionekani sana sema bado ubize wangu haujaanza japo kuna kitu nafanya ambacho hakinizuii kuchatchat

.....
......
..........
 
Asante kwa taarifa najua sio mvivu, nimeandika kuonyesha hisia zangu tu, barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…