Wazungu jina la Rashid lilikuwa linawashinda kulitamka, mzungu mmoja akamlahisishia kwa kumwita full name Rashford [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Rashid Ford
(RashFord)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji26] tayari wameshatupora mpemba wetuWazungu jina la Rashid lilikuwa linawashinda kulitamka, mzungu mmoja akamlahisishia kwa kumwita full name Rashford [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
C,palace angeshinda man ilikuwa inarudi nafasi ya 8[emoji26] tayari wameshatupora mpemba wetu
Hayo maombi hata ukiyafanyia mt. Kilimanjaro Mbwana Sammata hawezi kishinda.
Hii tuzo ni ya Aubameyang tu, hana mpinzani kwa sasa Africa
Umenifurahisha
Kuna watu wanaamini ktk maombi badala ya data
Ni sawa na mtu mwenye rundo la sup na carry afanye maombi amuombe Mungu ili agraduate with Honours degree
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
Exactly
Hamna wakumzuia Simba msimu huu
Simba hafiki popote ni sawa na misimu miwili iliyopita, anatangulia kwa mkokoteni wa punda sisi tunakuja na scaniaExactly
Hamna wakumzuia Simba msimu huu
Simba hafiki popote ni sawa na misimu miwili iliyopita, anatangulia kwa mkokoteni wa punda sisi tunakuja na scania
Ongeeni mtanyamaza tuScania tutaweka misumari makanyagioni mpate pancha, then punda anapita taratibu bila wasiwasi [emoji14][emoji14][emoji19][emoji19][emoji19][emoji123][emoji123]
Scania linasimamishwa stand na wahunSimba hafiki popote ni sawa na misimu miwili iliyopita, anatangulia kwa mkokoteni wa punda sisi tunakuja na scania
hakuna wa kutuzimaOngeeni mtanyamaza tu
Mtazimwa tu na akina toto! Ngoma ya watoto haikeshihakuna wa kutuzima
Siku ukizimwa usikimbie hapahakuna wa kutuzima
Birthday boy
Kichuya ni raia wa nchi ganiKwa udhamini wa kichuya
[emoji125]
*USIKU MWEMA*
Watakujibu kesho wana SimbaKichuya ni raia wa nchi gani
Halafu maswali yako ya kuuliza usingizini usirudie tena hasubui jibu lako litakuwepoKichuya ni raia wa nchi gani