Mi Jukwaa langu kuu ni CHIT CHAT kabla sijajulikana nilitoa thread km 10 za swaga na hadi leo hazichuji .....nikaona hakuna haja ya kuanzishaanzisha thread ili masela tuwe tunapiga stori ndo likanijia wazo la kuanzisha kijiwe cha KAPUKU FORUM...Hapa tupo FREE kuongea kila ishuNaona wewe unapenda mimi sijawahi hata kuanzisha popote pale....zaidi ya haka ka segment humu KF
Kamuulize Modkwa maana hiyo kumbe hakuna ule Huruu wa kujizaele??
Wabadili hiyo nembo cos seems that slogan doesn't applied no more.
ila nadhani wanapitia pitia humu kama kuna mtihaniMi Jukwaa langu kuu ni CHIT CHAT kabla sijajulikana nilitoa thread km 10 za swaga na hadi leo hazichuji .....nikaona hakuna haja ya kuanzishaanzisha thread ili masela tuwe tunapiga stori ndo likanijia wazo la KAPUKU FORUM...Hapa tupo FREE kuongea kila ishu
.....................
nadhani kuna kitu wanaogopa japo ni kuminya uhuru wa kujielezaWabadili hiyo nembo cos seems that slogan doesn't applied no more.
nimewatumia PM nyingi tangu nijiunge humu mpaka naogopaKamuulize Mod
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]nimewatumia PM nyingi tangu nijiunge humu mpaka naogopa
Wanapitiaga lakini WANATUKUBALI hata mod nikimfuata PM haina shida sababu HATUVUNJI SHERIA ZA JF....Pia hii thread in msaada kwa watu wengi usoma swaga na nondo za hapa & matokeo ya mpira,vichekesho n.kila nadhani wanapitia pitia humu kama kuna mtihani
Vp rafikiLakini......?[emoji46]
Okay basi...ni kuhusu ile ishu ya msanii nilishatoa nondo.Vp rafiki
Ngoja nikachekiOkay basi...ni kuhusu ile ishu ya msanii nilishatoa nondo.
WhyNahisi kupigwa BAN
nawaza tu,kile kimada cha nyerere na madiba kimefutwa
mahaba!!!!1
Nafikiri nilikwambia jana utegemee hilo...nawaza tu,kile kimada cha nyerere na madiba kimefutwa
Haaaahaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kamuulize Mod
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Jirani vp, makaveli amepotelea wapi
Katingwa kidogo na mambo mambo flani ila kesho ataingia...Jirani vp, makaveli amepotelea wapi