Atajua mwenyeweYeye kakosea, hajachanganua vizuri
Mfano Nyerere alisimamia hiki na hiki
Mandela na alifanya hivi na hivi
Yeye katoa uzi unaelea tu
Inabidi uende uwanja wa mapambanoNyerere alikuwa jembe!!
Quigley Jana alisema lakininaona mods wameifuta???????????????!!!!!!!!!???????
IMEFUTWAAdmin ameidelete tayari topic yako....nikiingia inakataa
ilinibidi niandike swali then nitoe maoni yangu kama mchangiaji,kurudi tena uzi haupoYeye kakosea, hajachanganua vizuri
Mfano Nyerere alisimamia hiki na hiki
Mandela na alifanya hivi na hivi
Yeye katoa uzi unaelea tu
Ndo ujiepushe na POLIFIXnaona mods wameifuta???????????????!!!!!!!!!???????
Kisiwa cha BAN kipo kule....Ndo ujiepushe na POLIFIX
Sijawahi post thread kule wala sikomenti komenti ingawa napitagapitaga tu
Polifix is harmful
...................
Na KikofiaQuigley Jana alisema lakini
Kwa nini?Nahisi kupigwa BAN
Haaa anaweza akaitwa mchochezi!Kwa nini?
Tumia ID nyingine tu hiyo haina shida...Nahisi kupigwa BAN
Ukitaka kurelax Jf usijihusishe na Polifix ForumNahisi kupigwa BAN
Naona wewe unapenda mimi sijawahi hata kuanzisha popote pale....zaidi ya haka ka segment humu KFMi nabaki kuwa mtazamaji.....cha msingi jifunze kuwajibu maana ni KF pekee ambapo watu tunachekeana na kukosoana kistaarabu au kiutani
Mi ndo maana sipendi kuanzisha thread
........
ngoja niwaacheUkitaka kurelax Jf usijihusishe na Polifix Forum
Kuna vibabu kule hata ukitania kidogo tu unakung'utwa BAN fasta
Mi niligundua mapema ndio maana sijawahi kula BAN
......
Tena kuna wengine wanasakwa kimyakimya sababu ya viherehere vyao vya kupost mambo ya lisiasa kule mfano kuisemasema serikaliKULE SIENDI NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
kwa maana hiyo kumbe hakuna ule Huruu wa kujizaele??Tena kuna wengine wanasakwa kimyakimya sababu ya viherehere vyao vya kupost mambo ya lisiasa kule mfano kuisemasema serikali
..........
dada usitoe siri zanguTumia ID nyingine tu hiyo haina shida...