Hata mimi naukubali sana mziki wakeJamaa hakua shoga kama inavyo daiwa na aliuawa na mzee wake kutokana na tofauti zao tu.
Namkubali sana Marvin.
Ufafanuzi murua kabisa.Marvin alikuwa anagombana sana na baba yake mara nyingi...alikuwa anahisi kama hawi appriciated na huyo mzazi wake maana baba yake alikuwa anaona kama Marvin amepotea baada ya kujitenga kidogo na kanisa na kufanya muziki, Marvin alijaribu kujiua mara kadhaa tu before baba yake hajamuua pia alikuwa ni mtumiaji mzuri tu wa dawa za kulevya aliamini zilikuwa zinamsaidia kuondoa msongo wake wa mawazo, wala hakuwa shoga hizo ni tetesi za mitaani za kidaku tu, na siku aliyouawa aliingilia ugomvi wa wazazi wake na nadhani kama yule mzee asingemuwahi Marvin nadhani kesi ya mauaji ingekuwa ya kwake.
Cc: Quigley
Hapo sawa mkuuView attachment 415531View attachment 415532View attachment 415533
Hii tabia ya kusingiziana ushoga siyo nzuri.....wengi tunakerwa na ushoga
Inaongeza chuki na kushusha heshima ya mwanaume
Ndio maana Dikteta hasema tu alibishana na mzazi wake kuliko angemsingizia wkt hana uhakika
Nimesoma historia yake chanzo ni jina tu la GAY(shoga) ambalo ndo orijino inasemekana waliamua kuongeza E hivyo ikawa GAYE
Yy na mzee wake wote walihusishwa na ushoga kutokana na jina lao tu la GAY na hakuna mtu yoyote aliyewahi kuprove kwamba ni mashoga
Hata mimi binafsi mara ya kwanza kusikia jina la Marvin Gaye lilinipa ukakasi
.......
hahaha gharama za ujenzi ni 17,500.NUKUU NO 1#
Ni wakati sasa kwa wananchi wa Tanzania kuamka kutoka usingizini.
Lazima tufanye kazi kwa bidii.
Tumenyonywa vya kutosha, tumedhalauriwa vya kutosha na kuuzwa hadharani katika minada kama mbuzi kwa ajili ya unyonge wetu
Sasa lazima tuamke na tuungane pamoja ili tusinyonywe tena wala kudharauliwa tena.
Maneno haya yamepata kutamkwa na Mwalimu Julius Nyerere, Feb 7,1969, Handeni Mkoani Tanga, alipokuwa akifungua shule mpya ya msingi eneo la Mzundu ambayo ujenzi wake uligharimu shilingi 17,500
NUKUU NO 1#

NUKUU NO 2#
Wananchi pia walizungumzia hifadhi ya Jamii, hasa kwa wazee
Wanasema wafanyakazi wanamifuko ya hifadhi ya Jamii na mishahara yao inaongezwa kila wakati
Kwa wakulima, mapato yao ni madogo na wakizeeka hawana hifadhi yoyote.
Hata matibabu ya wazee sio bure kama utaratibu wa serikali unavyoelekeza, kwa shart wanunue dawa wakati uwezo wao wa kifedha ni mdogo
Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, jaji Joseph Warioba, katika hotuba yake kwenye bunge maalumu la katiba, Mach 2014
Kwa sasahahaha gharama za ujenzi ni 17,500.
Hela ambayo hata Mchele kilo 10 haitoshi.
NUKUU NO 3
Wanachokitaka watu wetu ni kushirikishwa katika kufanya uamuzi wa ngazi mbali mbali kuhusu maisha yao, ili hatimaye, wawe na fursa ya kusimamia moja kwa moja uamuzi huo hadi kufika kilele cha mafanikio
Maneno haya yalipata kutamkwa na aliyekuwa Rais wa Namibia, Samuel Daniel Nujoma
Alizaliwa Mei 12,1929
huyu kweli wa kike?
Jaji Warioba a.k.a Mzee Kigogo namkubali sana.NUKUU NO 2#
Wananchi pia walizungumzia hifadhi ya Jamii, hasa kwa wazee
Wanasema wafanyakazi wanamifuko ya hifadhi ya Jamii na mishahara yao inaongezwa kila wakati
Kwa wakulima, mapato yao ni madogo na wakizeeka hawana hifadhi yoyote.
Hata matibabu ya wazee sio bure kama utaratibu wa serikali unavyoelekeza, kwa shart wanunue dawa wakati uwezo wao wa kifedha ni mdogo
Maneno haya yalisemwa na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, jaji Joseph Warioba, katika hotuba yake kwenye bunge maalumu la katiba, Mach 2014
Ahsante mkuu...Sina la ziada kwa udhamini mnono wa Poul Quigley tukutane kesho saa na wakati kama huu