Kuna Winston Churchill wawili.
Mmoja alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza, mwingine ndo huyu nilimwelezea leo kwenye segment.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 415420View attachment 415421View attachment 415422
Mimi ni mwasisi wa togwa na mbilimbi
.......
Ndio uzuri wa EPLMsimu uliopita alikuwa kwenye form balaa
Msimu huu naona mchungu kwake
Ok ahsante kwa taarifa.
Naskiaga alimuua kwa kuwa mwanae alianza kujihusisha na ushoga...View attachment 415424SrView attachment 415425JrView attachment 415426
Alimuua kwa kumpiga risasi
.......
Maisha marefu Mavugo
Yaah! Uko sahihi kabisaNaskiaga alimuua kwa kuwa mwanae alianza kujihusisha na ushoga...
Msimu ulipoanza alikuwa majeruhi, hivyo tumpe muda.Msimu uliopita alikuwa kwenye form balaa
Msimu huu naona mchungu kwake
Ngoja tuoneMsimu ulipoanza alikuwa majeruhi, hivyo tumpe muda.
Naamini ni mchezaji nzuri
Marvin alikuwa anagombana sana na baba yake mara nyingi...alikuwa anahisi kama hawi appriciated na huyo mzazi wake maana baba yake alikuwa anaona kama Marvin amepotea baada ya kujitenga kidogo na kanisa na kufanya muziki, Marvin alijaribu kujiua mara kadhaa tu before baba yake hajamuua pia alikuwa ni mtumiaji mzuri tu wa dawa za kulevya aliamini zilikuwa zinamsaidia kuondoa msongo wake wa mawazo, wala hakuwa shoga hizo ni tetesi za mitaani za kidaku tu, na siku aliyouawa aliingilia ugomvi wa wazazi wake na nadhani kama yule mzee asingemuwahi Marvin nadhani kesi ya mauaji ingekuwa ya kwake.View attachment 415424SrView attachment 415425JrView attachment 415426
Alimuua kwa kumpiga risasi
.......
Asante MussoLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane kesho.
Week njema.
Marvin alikuwa anagombana sana na baba yake mara nyingi...alikuwa anahisi kama hawi appriciated na huyo mzazi wake maana baba yake alikuwa anaona kama Marvin amepotea baada ya kujitenga kidogo na kanisa na kufanya muziki, Marvin alijaribu kujiua mara kadhaa tu before baba yake hajamuua pia alikuwa ni mtumiaji mzuri tu wa dawa za kulevya aliamini zilikuwa zinamsaidia kuondoa msongo wake wa mawazo, wala hakuwa shoga hizo ni tetesi za mitaani za kidaku tu, na siku aliyouawa aliingilia ugomvi wa wazazi wake na nadhani kama yule mzee asingemuwahi Marvin nadhani kesi ya mauaji ingekuwa ya kwake.
Cc: Quigley
Marvin Gaye (/ɡeɪ/;[1] born Marvin Pentz Gay Jr.; April 2, 1939 – April 1, 1984)[2] was an American singer, songwriter and record producer. Gaye helped to shape the sound of Motown in the 1960s, first as an in-house session player and later as a solo artist with a string of hits, including "Ain't That Peculiar", "How Sweet It Is (To Be Loved By You)" and "I Heard It Through the Grapevine", and duet recordings with Mary Wells, Kim Weston, Diana Ross and Tammi Terrell, later earning the titles "Prince of Motown" and "Prince of Soul"View attachment 415531View attachment 415532View attachment 415533
Hii tabia ya kusingiziana ushoga siyo nzuri.....wengi tunakerwa na ushoga
Inaongeza chuki na kushusha heshima ya mwanaume
Ndio maana Dikteta hasema tu alibishana na mzazi wake kuliko angemsingizia wkt hana uhakika
Nimesoma historia yake chanzo ni jina tu la GAY(shoga) ambalo ndo orijino inasemekana waliamua kuongeza E hivyo ikawa GAYE
Yy na mzee wake wote walihusishwa na ushoga kutokana na jina lao tu na hakuna MTU yoyote aliyewahi kuprove kwamba ni mashoga
Hata mimi binafsi mara ya kwanza kusikia jina la Marvin Gaye lilinipa ukakasi
.......
Ndo hivyo mwana hata huku Bongo kuna majina mabayaMarvin Gaye (/ɡeɪ/;[1] born Marvin Pentz Gay Jr.; April 2, 1939 – April 1, 1984)[2] was an American singer, songwriter and record producer. Gaye helped to shape the sound of Motown in the 1960s, first as an in-house session player and later as a solo artist with a string of hits, including "Ain't That Peculiar", "How Sweet It Is (To Be Loved By You)" and "I Heard It Through the Grapevine", and duet recordings with Mary Wells, Kim Weston, Diana Ross and Tammi Terrell, later earning the titles "Prince of Motown" and "Prince of Soul"
bonge la nyau n.kNdo hivyo mwana hata huku Bongo kuna majina mabaya
Kuna akina
****
Tembo
Kenge
Kinembe n.k
Hivyo waliponzwa tu na jina la GAY wakaona isiwe tabu wakaongezea E ikawa GAYE
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Si kweliNaskiaga alimuua kwa kuwa mwanae alianza kujihusisha na ushoga...
Hebu nipe ukweli mkuuSi kweli
Jamaa hakua shoga kama inavyo daiwa na aliuawa na mzee wake kutokana na tofauti zao tu.Hebu nipe ukweli mkuu