Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
1991 - Xherdan Shaqiri anazaliwa.
Ni mchezaji wa Stoke City na timu ya Taifa ya Uswizi.
Ni mfupi na anasifika kwa kasi awapo uwanjani.
Lakini unaweza ukute wamepiga hatua kuliko sisi tukio wahi kupata Uhuru.Kumbe walichelewa
Kuna Winston Churchill wawili.
1911 - Jack Daniel anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara kutoka Nchini Marekani.
Ni mwanzilishi wa kinywaji maarufu cha Jack Daniels.
Hilo liko waziLakini unaweza ukute wamepiga hatua kuliko sisi tukio wahi kupata Uhuru.
Asante kwa magazeti ya leo Kitabu
Kwa niaba ya mleta magazeti mimi ni ZE KITABU!!!!!
Jina tu1946 - Naoto Kan anazaliwa.
Ni Waziri Mkuu wa 61 wa Japan.
Msimu uliopita alikuwa kwenye form balaa1991 - Xherdan Shaqiri anazaliwa.
Ni mchezaji wa Stoke City na timu ya Taifa ya Uswizi.
Ni mfupi na anasifika kwa kasi awapo uwanjani.
Asante sana, blue Monday njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane kesho.
Week njema.
1998 - Marvin Gaye Sr. anafariki.
Alikuwa ni baba mzazi wa msanii Marvin Gaye Jr.
Alimuua mwanae baada ya kubishana nae.
Itakuwa hivyoLakini unaweza ukute wamepiga hatua kuliko sisi tukio wahi kupata Uhuru.
Ni shida sanaView attachment 415424SrView attachment 415425JrView attachment 415426
Alimuua kwa kumpiga risasi
.......