Makapuku Forum

utakuwa huko nje ila watawamention kama washiriki na wengine wakipenda wataingia
Ukitag/mention watu unaharibu uzi wako......ukapuku/uswahiba mwisho hapahapa KF

Tukiwa nje ya KF kila mtu anasimama mwenyewe na anabeba msalaba wake........unachoweza kufanya ni kuleta link tu hapa ili watu tujue km kuna uzi Fulani ilianayejisikia kuchangia achangie
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…