Makapuku Forum

MARAIS 10 BORA KUTOKA AFRIKA(ALL TIME GREAT PRESIDENTS)
10
.Ellen Johnson-Sirleaf;Rais wa Liberia pia ni wa kwanza Mwanamke barani Afrika,alichaguliwa mwaka 2005.anasifika kwa kurudisha amani baada ya vita nchini humo,alishinda tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2011.
 
Daah we The book unanikumbusha sana Szcny a.k.a field marshall [emoji17][emoji17][emoji17].
 
Blackburn ya Morten Gamst Pedersen, Chris Samba, Robbie Savage, Golikipa yule kipara toka Marekani, Na wengineoo
Mchana nilikuwa naangalia game ya man na liver Enzi za kina song, baadaye arsenal na Man Enzi za Viera na Roy

Kumbe ugomvi wao siku hiyo ulianzia wakati wanatoka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, refarii aliwaonya mapema sana

Timbwili likahamia uwanjani, Neville ndio alikuwa anasimulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…