Makapuku Forum

April 9 - Leo ni Miezi Sita ya Makapuku.

Tumepiga hatua kubwa ndani ya miezi sita hii, Anayeongiza kwa Like nyingi ni Kapuku JJ ambaye ana Like kama 80K.

Thread yenye views wengi ndio hii, Yenye comments nyingi ndio hii ambapo ni zaidi ya 100K.

Hakika Makapuku forum, ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo kwani hapa ni kisima cha maarifa kwa uwepo wa segment mbalimbali zinazotufanya tujifunze mambo mapya kila kukicha.

Heri ya maadhimisho ya Nusu mwaka kwa Makapuku wote.
 
Makapuku oyeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…