Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Kwema kabisa mkuu, vp pande hizokwema mkuu?
Kwema unalianzisha au nilianzishe??kwema mkuu?
Morning ankaliMorning all kapuku
Morning Ankali JJMorning ankali
R I P handsomeLeo katika Historia:
1967 - Ernesto Che Guevara anauwawa huko Bolivia.
Ni siku moja baada ya kukamatwa na Jeshi la Nchi hiyo, anauwawa baada kuteswa kwa takribani masaa 24.
Leo katika Historia:
1967 - Ernesto Che Guevara anauwawa huko Bolivia.
Ni siku moja baada ya kukamatwa na Jeshi la Nchi hiyo, anauwawa baada kuteswa kwa takribani masaa 24.
1980 - Papa John Paul II anakutana na Dalai Lama na kufanya mazungumzo ya siri huko Vatican.
1906 - Leopold Sedar Senghol anazaliwa.
Ni Rais wa kwanza wa Senegal.
RIP Lennon1940 - John Lennon anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Uingereza.
Alifariki mwaka 1980 kwa kupigwa risasi.
Alikuwa ni mmoja waliounda kundi maarufu la " The Beatles "
Apumzike kwa amani1940 - John Lennon anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Uingereza.
Alifariki mwaka 1980 kwa kupigwa risasi.
Alikuwa ni mmoja waliounda kundi maarufu la " The Beatles "
Morning!!Morning all kapuku