Imagine umerud home unaingia chumbani mida ya saa mbil ucku ghafla unamuona nyoka kanyanyua shngo juu ana chzesha mkia na ki ulimi kinatoka toka nje kwa ujasiri unaamua kuchukua fmbo ili kumuua ...lkn ulivo jasiri zaid unaamua kufunga na mlango af funguo unatupia ktndani unajarbu kumdhuru lkn ghafla umeme unakatika
Hapo ndio unakubali Nobody can stop Reggae