makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
KunaGANDHI wapo wengi siyo Mahatma Gandhi tu kuna Indira Gandhi n.k hivyo samtaimu ukikutana na neno Gandhi haina maana ya Mahatma
.............
Hata wewe.. Sheikh wangu...Uuuwiiiiiiiiiiii mpeleke akawe msukule wa kuvua samakiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Nimeipenda hii
Unga kwani mie teja...Maukale atamaliza unga tu wakusongea ugali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
MaPadlock nayo ni MPMP inamaana nyingi sana
Huyo si kiaz..Tatizo bitoz anajua maana moja tuu
Ulichoropoka..Nimeropoka ni ni
Nani na nani!!?Kumbe ndio maana wamefanana
Me simoo [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyo si kiaz..
Hata sielew kwa kweli..Hivi magufuli kwa nini ameairisha safari si tuliambiwa atakua huko baraza la umoja wa mataifa
Sacajo Gandhi [emoji12] [emoji12]Kuna
Mahtma gandhi
Indira gandhi
Sindano za ganzi...
Na wengine kibao..[emoji23] [emoji23]
Hata wewe.. Sheikh wangu...
[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Toka lini umeanza kuitwa jina hilo!!?Me simoo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
NashukuruUmechagua fungu jema
Nilikuwa nakuita maana uliadimikaHata wewe.. Sheikh wangu...
[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Kwenye ugomvi huwa natumia jina hiloo[emoji23] [emoji23]Toka lini umeanza kuitwa jina hilo!!?
Nashukuru sanaNimeipenda hii
Karibu.Safi...
Cc bitozMaPadlock nayo ni MP