1992 - Dikteta wa zamani wa Panama, Manuel Noriega anahukumiwa kifungo cha miaka 40 jela na Serikali ya Marekani baada ya kukutwa na kosa la Uuzaji wa madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa binadamu.
Kabla ya hapo, Noriega alikuwa ni kibaraka mkubwa wa CIA ambao walichangia kumuweka madarakani kabla ya kumgeuka na kumuondoa madarakani.