Saidia kumuelewesha huyo mchafua uzi au hujaona alichofanya ?
Reply 100 mfululizo za kujisemeshasemesha
Ni usumbufu na kuharibu uzi
.........................................
Kwa udhamini mnono wa siku ya wapenda bia nchini Marekani ndio tumefikia mwisho katika uchambuzi wa magazeti
Naitwa Jimena Jimenes... Nawatakia siku njema na muwe na furaha tele.
Adios