Mnisamehe wote hapi kati kati, kama kuna post ilikuwa inanihusu sijaijib ni kutokana na network, halaf nimeingia nakuta inasomeka.. 100337, ndio nmevurugwa kabisa..
Hongera kwako himena himenes kwa kutusua.. 100k, una zawad yako nzito, nikitua tu dsm plz fanya mchakato uje ubebe zawad yako kigambon, but PLEASE DNT COME WITH UR TWIN CWT P, ila RUKSA KUJA NA KIPENZI CHAKO MR. BRIZ HIMSELF