Makapuku Forum

Makapuku Forum ndio thread yenye mafanikio zaid toka JF kuanzishwa kwake kwani ndani ya siku 6 imekuwa na view 68k na comment 9k hii haijawai tokea JF hvyo ni Jambo la kujipongeza makapuku kwa ushirikiano wetu
Na Leo kabla ya 20:30 tunafikisha post 10000 view ndo kubwa zaidi.

Kujipongeza muhimu sana Leo maana weekend ndo imeanza hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…