Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Eeh kumbe???Hana jipya wakati Kuna timu imegawanyika kwa ajili yake
Na hiiImechanganywa na nini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu paka ni mmbea sana!!!Selfie timeView attachment 394877[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anaitwa nani sasaJina lake limekaa Kitaliano
.........
[emoji4][emoji4]Mungu ni mwema
Sawa decentAchana na mpiga puli mzee wa mifujo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Afu we Bitoz wewe sikuelewi ujue mbona umeniganda sana na hiyo picha...[emoji28][emoji28][emoji28]
Yani kaamua kuondoka hadi mjiniUmemkimbiza mjini
Oyooooooo!Itapendeza tukisherekea miezi mi5 ya KF TAR 09 huku tukiwa na reply LAKI MOJA na VIEWS KARIBIA 1M
Makapuku oyeeeee
..............
[emoji3][emoji3][emoji3]Hawezi hata
Yaani [emoji17][emoji17]Sasa hivi anavuna asali
Aiseeee!Huyu yuko poa sema kapaka masizi tu usoni
Huyu wa Twiga wamefanana copyright!!
Senkyuuuu so machiHehehe hongeraaa
Nini tena?Mimi ni jirani yake tu
Kuna watu wako kwa waganga saa hizi, sidhani kama ntaweza kuwasuuza kwenye huu mtanange kirahisi hivoo...labda weweNahisi utaitupia wewe hiyo!
Haya, huyo sasa..Muweke nimuone akiwa amezitoa hizo gundi zote usoni
Natimiza maneno ya bible...mpende jirani yako kama nafsi yako. Nampenda sana jirani yangu kwakweli [emoji4]Najua huwa mwatembeleana na kupeana ujirani kiss