Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Ulimkiss twin wangu nikakusamehe...wewe kusamehe hutaki ama kweli sisi wanawake tuna huruma.Why.. Mbona mimi umenifanyia hvyo!!?
3rd newtons law of motion
"Action n reaction are equal but opposite in direction"
Hope umeelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkokosi huyo on fleek!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huon haya, unabana na pua "eden ni kivuruge tu" mmmxxxhhhuuuuu
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Jamani...[emoji22][emoji173][emoji173][emoji15][emoji15][emoji15]
Jibu rahisi "Uzi hauna formula" ni swaga za TownPage
1-3
Soma mule utavumbua ving mkuu
Nginja nginja5[emoji109]
Ntakujuza nikirudi, ngonja nimfikishe kwao,Nini tena kimetokea
Mie mbona mpole tu, sijampga mtu wala kumtukana.. Just nawaombe maisha mazur muendakoBasi uwe mpole
Twaeleweshana hatunaga ukonviMarafiki wakigombana shika jembe ukalime
Hongera sana bitoz aka mvuvi mkongwe wa mabibo beach97 K nimeivizia
Sasa ngoja ninywe tu togwa
Ahsanteni kwa kunisindikiza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Jamatin,Jamani...[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kumbe ulisema mkulu, nikajua umeniambia mieKumbe hukunielewa, nilimaanisha mkulu mdomo unamponza
Sawa...Say goodbye [emoji124] [emoji124] [emoji124]Jamatin,
Mskiti wa majin
Ameniambia ameishakusameheUlimkiss twin wangu nikakusamehe...wewe kusamehe hutaki ama kweli sisi wanawake tuna huruma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya chumbani hamuwezi kugawana sebuleni wewe alaaa
Kashanitimua aisee. Mi nna nyota ya mkaa nini jirani??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ameniambia ameishakusamehe
[emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]Ya chumbani hamuwezi kugawana sebuleni wewe alaaa
Mdudu wa mbao huyo, anakula mbaoYani nimeshindwa....au kuna wale wadudu wanavamiaga mahindi wanakula sijui wanaitwaje.
Ngoja tuone Bitoz atasemajeMdudu wa mbao huyo, anakula mbao
Haya nenda bibie.. Nakutakia kila la kheri kwenye maisha yako, mungu akuongoze, akuepushe na kila lenye shari...Asante...[emoji22][emoji22]. Basi mi naenda tu