Makapuku Forum

Seriously nimecheka sanaaaa!!!
 
Wakuu habari zenu? kuna huu uzi hapa unaitwa Makapuku naona umekuwa maarufu sana ila kwa bahati mbaya sijui unahusika na nini.Nimejitahiji sana kuufuatilia ila nimebaki mataa....Ebu nielezeni lengo, wahusika na maana halisi ya Makapuku forum Bitoz Jimena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…