eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Sep 4, 2016 #96,721 Oyoooo habari zenyu makapuku forum wenzangu mko poa humu
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #96,722 Quigley nimekumiss
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #96,723 Jimena said: Kuna kadogo kangu hakana issue kama vipi muunganishe basi apige hiyo kazi Click to expand... Tuma no. Yake pm niwasikiane naye.. Ila inapendeza zaidi km atakuwa ni me coz ke mishe km hzo zitawaumiza ki-design
Jimena said: Kuna kadogo kangu hakana issue kama vipi muunganishe basi apige hiyo kazi Click to expand... Tuma no. Yake pm niwasikiane naye.. Ila inapendeza zaidi km atakuwa ni me coz ke mishe km hzo zitawaumiza ki-design
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Sep 4, 2016 #96,724 Bitoz said: View attachment 393425 Naelekea Chato International Airport(CIA) wasukuma watanipokea ...... Click to expand... Huishiwi vituko
Bitoz said: View attachment 393425 Naelekea Chato International Airport(CIA) wasukuma watanipokea ...... Click to expand... Huishiwi vituko
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 4, 2016 #96,725 eden kimario said: Oyoooo habari zenyu makapuku forum wenzangu mko poa humu Click to expand... Ni poa sana.. Karibu
eden kimario said: Oyoooo habari zenyu makapuku forum wenzangu mko poa humu Click to expand... Ni poa sana.. Karibu
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #96,726 shululu said: Hiyo ni 100k inahusika Click to expand... Ndo nmekija kuivizia hata na hvyo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Sep 4, 2016 #96,727 Sweetiepie said: Masihara hayo jamani....mweeeeeer basi movie iishe starring kafia kwenye maua!! Click to expand... Hilo nalo neno
Sweetiepie said: Masihara hayo jamani....mweeeeeer basi movie iishe starring kafia kwenye maua!! Click to expand... Hilo nalo neno
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 4, 2016 #96,728 jonax said: Ndo nmekija kuivizia hata na hvyo Click to expand... Sijui kama utaipata
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #96,729 QUIGLEY said: Hilo nalo neno Click to expand...
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #96,730 Bitoz said: Nyanya zimekudodea ndio maana huna bundle siku hizi ........ Click to expand... Shkamoo afande
Bitoz said: Nyanya zimekudodea ndio maana huna bundle siku hizi ........ Click to expand... Shkamoo afande
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Sep 4, 2016 #96,731 briz said: Ni poa sana.. Karibu Click to expand... Nashukuru sana nimepotea sana hapa jukwaani ila sio kesi nimerudi maana hapa jf maeneo ni mengi ya kujidai
briz said: Ni poa sana.. Karibu Click to expand... Nashukuru sana nimepotea sana hapa jukwaani ila sio kesi nimerudi maana hapa jf maeneo ni mengi ya kujidai
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 4, 2016 #96,732 briz said: eti nimemuiba, mi na Szczesny tulikuaga na nafasi sawa ila nlikua namuachia tu kwasabu alikua haiwezi battle na angeweza kujinyonga si unajua tena kabila lake? Click to expand... Mpaka akaamua kulala mbele
briz said: eti nimemuiba, mi na Szczesny tulikuaga na nafasi sawa ila nlikua namuachia tu kwasabu alikua haiwezi battle na angeweza kujinyonga si unajua tena kabila lake? Click to expand... Mpaka akaamua kulala mbele
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Sep 4, 2016 #96,733 jonax said: Ndo nmekija kuivizia hata na hvyo Click to expand... Vipi mkuu uko poa
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #96,734 QUIGLEY said: Hilo nalo neno Click to expand... Lakini movie ikiisha mi ntakonda jama
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #96,735 briz said: Umletee Jimena wangu riwaya bas.. tumezimiss Click to expand... Hongera kwa kukamatia demu kareeeeee
briz said: Umletee Jimena wangu riwaya bas.. tumezimiss Click to expand... Hongera kwa kukamatia demu kareeeeee
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #96,736 "Old is ever Gold" itawajia hivi punde
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #96,737 jonax said: Hongera kwa kukamatia demu kareeeeeeView attachment 393436 Click to expand... mweeer
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #96,738 shululu said: Sijui kama utaipata Click to expand... Mimi ni monster arifu.. We subiri uone nnavyoiopoa
shululu said: Sijui kama utaipata Click to expand... Mimi ni monster arifu.. We subiri uone nnavyoiopoa
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Sep 4, 2016 #96,739 jonax said: ShikamooView attachment 393428 Click to expand... Kwani nina mvi ........
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Sep 4, 2016 #96,740 Sweetiepie asante kwa like natumaini uko vizuri