Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Usijali mpenz..
Haha ni kweli ila ukigundua mwanao ana kipaji nyakati hizi kiendeleze mana kwa tunapoelekea teknolojia itamaliza ajira za watu so kitu pekee kitabaki kulipa sana ni talentsNdo tofauti yetu na wazungu
Mi pia noma kwa kuchekesha vilevile km hapa KF unavyoona
............
Uko vizuri shem lake, bado unachora lakin ama umesahau kabisa?Nakumbuka niko Primary nikamchora Mkapa katika mashindano ya Kiwi...hata sijui iliishia wapi wakachukua Art yetu...feedback No ila nikaja kuskia tulifanya vzuri sema maticha walifanya fitna.
Uwiiiii Cobblepots utaniua mimi jamani....hapo naona kitu cha Boys ii men- dreams daah my fav asee....kwa kifupi hizo ni sindano kali sana na nazielewa vibaya mnooooo.....KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Ndo maana yakeJimena anahusika % buku
Jamani Des'lee kapotelea wapi huyu mwanadada??!!!! ana kabesi flani hivi amazingKAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Duh! Afu mbona kama zimeungua kimtindo?View attachment 392354 Pale unaposikia Magu atabadili noti ya elfu 10, full kuzifukua kutoka mafichoni...
Huwa nikimsikiliza Dido na hii Track yake ya thank you napata usingizi murua kabisaa.KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Spice girls- Viva Forever my inspirational song aisee....huu usipokuwa makin unaweza jikuta unatoa chozi.KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Sukari nayo ilikua hivi hivi afu baadae aka-backoffHapo muheshimiwa amekurupuka..
Weka pichaAkati mie nakufahamu
Haha umetisha sana.. So anafikiria kiume?Mmama kiumbile, mwanaume kifikra.
Wiki ya mapumziko.. Mechi za kimataifa zinachukua nafas yake.Kesho tunacheza na nani
Mhhhh sijapractice tangu 2012 nilivyowachora wazazi wangu nika design flame nikaziweka picha.Uko vizuri shem lake, bado unachora lakin ama umesahau kabisa?
Jamani this is too much!Ingekua bongo angetumika kama punda wa kisiasa
A frog iz jumping jumping frog, frog iz jumping jumping frog, Oooh..!!! Frog there, fellaz!! Frog there... !!! ×3View attachment 392406nimeupenda huo mulango
Duuh ulivyousanisi huo wimbo...A frog iz jumping jumping frog, frog iz jumping jumping frog, Oooh..!!! Frog there, fellaz!! Frog there... !!! ×3