Makapuku Forum

Karibu kwenye top tena kama kawaida yetu ya kila siku

Ila leo napenda kutumia fursa hii kuwaambia woote mlokuwa mna sapot segment hii ahsantemi sanaa, na now Szczesny ataondoka JF na kuendelea na maisha mengine, nilipenda ni tufike wote kwenye 100 k but i wish you guys the best sta potea KF tuu ila napotea JF kwa ujumla and nawakubali sana wakuu kwa miez takriban mi 3 au 4,ya kuwa pamoja kama familia ahsanteni sana sanaa.

So nta shusha kumi kali za mwisho then i think tuta agana, then ntaweka rekodi ya kuwa member aliye aga JF(
stupid me).

Twende kazi
 
 
Number 10, U.S. Army/ Jeshi la marekani
mpaka mwaka 2012 wana jeshi wana wake wa USA walikuwa ni asilimia 14% ya jeshi la marekani, na takribani wana wake 165000 walo, pia kuna wana wake 35000 wengine wa ziada kama ma ofisa, zamani ilibidi wachukue wana wake wabaya na wengi walikuwa wna jiweka kama wanaume na walipewa kaz ngum vile vile hvo jeshi halikuvutia wana wake , lakini sku hizi kuna nafas za kaz za kike na wanawake wana penda kuingia jeshini na ni wazuri wana jipodoa kabsaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…