Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Hata ngumi broUnapiga kibao au
Hata ngumi broUnapiga kibao au
HahahahaHongera Mkuu kwa 92k.
Kama nilivyosema hizi nyingine nimewaachia nyinyi wa Mchangani...
Sisi moja wao hawajapata kituTupe matokeo
Utabiri ulitimia...hongereni red devils basiDaaaah
Huuu mpira wa leo nme shangilia kama sna akili nzuri
Machozi, jasho na damu
Safi
Mpira dakika 90Hongera sana, ilikuwa tia maji tia maji
Mtata sanaMwenyekiti mtata
Mpira magoli sio kukaba tuAcha umbea
Walipaki tu treni
![]()
![]()
![]()
........
AaaahHongera sana, ilikuwa tia maji tia maji
Glory Glory Manchester UnitedIla tina point 3 kibindoni.
Hata hiyo timu ushindi wa usiku hivyoKwenda hukooo
Tumishinda
Thanks swt pUtabiri ulitimia...hongereni red devils basi
Haina shakaIla tina point 3 kibindoni.
Rushf...............d
Wakipaki unapiga kiulaini sanaAcha umbea
Walipaki tu treni
![]()
![]()
![]()
........
DictatorMtata sana
Jina lake tu linaonyesha
Kama mimi.Rushf...............d
Tusubiri wafanye dhidi yenuWakipaki unapiga kiulaini sana
Ibra vp leo kabanwa sanaGlory Glory Manchester United