Makapuku Forum

: BABA NA BINTI YAKE

Binti: Baba kwanini unanikataza kushinda na Benny wakati ni Rafiki yangu tu wa kawaida tunajadili masomo!!?

Baba:Hebu jaribu kushinda na Toothpick mdomoni mwako kutwa nzima, lazima utaitafuna tu.
 
Akuu naogopa
Kuna MTU humu ndan alinidanganya kumbe ana mke

Bora niwe pekeanguuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Linamo dada angu hapa wacha nishindwe mwenyewe ila wewe ushaplay part yako kabisa... amaizing kuwa na amani kama ni kivuli ulikuwa unatafuta hakika huu mti ndiyo wenyewe na kama ni chemchem hii inatoa maji matamu mno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…