10. Wana wake walio olewa huko Bolivia ni marufuku kunywa, mvinyo au pombe zaid ya glas moja ili kuendeleza ustaarabu na kuhakikisga wanawake walio olewa hawawi tricked na kina man4ongo wa huko, ni marufuku kumnywesha bia mke wa mtu zaid ya glass moja , sja jua waliangalia nn kueka sheria hii lakin