Hahahaaa..... Yule bibi mbishi kweli, hataki kuonekana ameshindwa. Atakomaa mpaka awe mshindi.naona umemkera mpaka umemfukuza bibi yangu
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
ngoja nimuite tena..
Bae eti huyo wa kuitwa HOPECOMFORT ni nani yako? Maana ana shoboka sana[emoji5] [emoji5] [emoji5]mlenda flani hivi bae
😡😳🙁....sawa bana we si hauoniBaraka[emoji57] [emoji57] kwani we nani?
nmeshamuita tayari, hvyo tegemea ujio wake soonHahahaaa..... Yule bibi mbishi kweli, hataki kuonekana ameshindwa. Atakomaa mpaka awe mshindi.
Ukwendreee[emoji135] [emoji135] [emoji41] [emoji41]😡😳🙁....sawa bana we si hauoni
[emoji15] mmh! hii ngumu kumeza... sitii neno, mtajuana wenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]Bae eti huyo wa kuitwa HOPECOMFORT ni nani yako? Maana ana shoboka sana[emoji5] [emoji5] [emoji5]
saa mingi sana mbona, mkuu ..Bro upo? Ulipata time ya kupumzika?
Yeye aje tu, hata simwogopi.nmeshamuita tayari, hvyo tegemea ujio wake soon
anakutaka ndo maana anakushobokea, si kama mimi kipindi kile nilikuwa nakusubiri pale chini ya mti au umesahauBae eti huyo wa kuitwa HOPECOMFORT ni nani yako? Maana ana shoboka sana[emoji5] [emoji5] [emoji5]
umeonaeUnywe na kiburu cha kutosha
safi sanaaaaaa, ni bora madrid ikutane na Bayern kuliko ikutane na Atletico..
UCL SEMI FINAL
............
Hiyo team yenye yule wa kwenda Morocco lazima watolewe tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
UCL SEMI FINAL
............
Kila LA kheri Real Madrid
UCL SEMI FINAL
............
Ni shida kwakweliIla na we ni nouma... Mbishi ka dadaetu jide
Real v Citysafi sanaaaaaa, ni bora madrid ikutane na Bayern kuliko ikutane na Atletico..
Nipo Man City kwa mkopo ....nawatakia kila la heri.
UCL SEMI FINAL
............